Mkuu..!
mfano,
Wewe ndio mwenye hiyo homoni.. ina maana hiyo mihemko na uwezo wakupenda utakuwa nao wewe hapo..
Sasa mbona swali lako kuhusu hizo homoni unalielekeza kwa mtu anaetakiwa kupendwa..
Mimi nilitegemea nione unauliza kuhusu ukosefu wa hizo homoni kwa wale watu ambao hawana mihemko ya Kupenda na sio kupendeka..