Oya naona Maulid Kitenge ameanza Kupona Akili Ona hii post

Huwa anapendelea kuandika quotes za namna hiyo sana...
 
Upumbavu ni kuokoteza vineno neno ukadhani vinasapoti uchochezi wako.
 
Me nawashangaa vijana wasio na utu wala uzalendo wanaikumbatia ccm pamoja na utekaj wote na kesi za hila
Siku moja Mungu atawalipa
 
Zuijanah ndo huyo farasi?
 
Kanuni za uchaguzi pia zinawataka walio 'TIA NIA' ya kugombea huku ni watangazaji basi waache utangazaji kwanza ili kuleta usawa wa ushindani hivyo huenda waliowekwa pembeni vituo vya utangazaji sababu sio tu 'SHULE' hawana bali wali 'TIA NIA'
 
Unaendeleza mafarasi na fiksi zako
 
Hiyo sio definition ya upumbavu ni ya uongo hyo............
 
Bandari ameuziwa babako, we ni mbwa koko tu usielewe chochote au unapotosha kwa kuwa mmebanwa na mama, pumbav lazima mnyooke. Bandari imeiingizia nchi trilioni 1.8 mwaka huu hicho kilichouzwa labda ni mamako
1.8 trillion ni nyingi sana Mama miwili tena na bandari ya Zanzibar wapewe dp word kuleta hela zaidi au zenji kwenyewe hawataki matilion
 
Kanuni za uchaguzi pia zinawataka walio 'TIA NIA' ya kugombea huku ni watangazaji basi waache utangazaji kwanza ili kuleta usawa wa ushindani hivyo huenda waliowekwa pembeni vituo vya utangazaji sababu sio tu 'SHULE' hawana bali wali 'TIA NIA'
Una akili sana wewe jamaa.. Mitano tena kwako. Hiyo ni technique ya ku wa eliminate watu fulani fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…