K Kaisiki Member Joined Mar 12, 2010 Posts 23 Reaction score 0 Mar 15, 2010 #61 jamani acheni hizo muwe waaminifu Mungu apeni
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 Mar 15, 2010 #62 Onyesha kila senti unayopata.
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Mar 15, 2010 #63 Kama ni mnywaji, ukionesha mapato yote maswali yatakua kibao na ugomvi unaweza kutokea, mi nadhani ni bora kuficha baadhi ya mapato kwani wengi(waume) wana matumizi ya pembeni, mke hajui UKWELI NDO HUO
Kama ni mnywaji, ukionesha mapato yote maswali yatakua kibao na ugomvi unaweza kutokea, mi nadhani ni bora kuficha baadhi ya mapato kwani wengi(waume) wana matumizi ya pembeni, mke hajui UKWELI NDO HUO