P.A.Y.E (katika hili Kombani kaudanganya umma)

P.A.Y.E (katika hili Kombani kaudanganya umma)

july7

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Nianze kwa kuwauliza wanajanvi, ni asilimia ngapi ya pato lako halisi hukatwa kama kodi kupitia mfumo wa lipa kwa kadri ya upokeavyo (PAYE)?
Waziri Kombani kaueleza umma bungeni hivi punde kuwa Serikali ilisikiliza maombi ya vyama vya wafanyakazi vya kupunguza tozo la kodi ya mapato ambalo lilikuwa ni kubwa mno kwa wananchi (18%) na kuridhia kuridhia kushusha hadi kufikia 12% na bado wanaendelea kupunguza hadi iweze kufikia 9%. Swali langu hapa, je! maelezo ya waziri kombani ni sahihi!?

Jibu ni HAPANA, Serikali inayosema kuwa kodi ya mapato ni 12% inawakata wananchi wake zaidi ya asilimia 18 za mapato yao kama kodi.
Kwa mfano, mtu anayepata ujira wa Tshs 1,000,000/= anakatwa Tshs 189,700/= kama kodi kwa Tanzania bara kiasi ambacho ni asilimia 18.97 ya kipato cha mtu huyo, na kiasi cha Tshs 200,250/= kama kodi kwa Zanzibar ambacho ni asilimia 20.025 ya pato mtu husika.
Kama kweli Serikali inasema kuwa kiwango cha kodi (PAYE) ni 12% na ambayo kwa bajeti ya sasa imepunguzwa kwa 1% ambayo itaifanya kuwa 11%, kwa nini basi wanawakata wafanyakazi wake 18.97% kwa Bara na 20.025% kwa Zanzibar!?
Ndo maana nikasema, katika hili Waziri Kombani kawadanya wananchi!
 
july7 unachoongea ni kweli kabisa PAYE tunayolipa kwa mwaka tanzania ni kubwa sana
kodi ya mshahara ni zaidi ya 18%
lizaboni sijui kama umeshawahi fanya kazi kama kweli wewe ni mfanyakazi uwezi pinga hili suala
 
aise wanakata hela nyingi.wafanyakazi ndo wanajua
for example boss kwenye taasis ya serk kodi yake anaweza alipe pc wake kama watatu hivi
 
Eti 12%, ukiwa na mshahara 1.5M ni zaidi ya 22%. Ingia website ya TRA kuna calculator ya P.A.Y.E, Ni lazime tuambiwe hiyo 12% ni kwa mshahara upi?
 
july7 unachoongea ni kweli kabisa PAYE tunayolipa kwa mwaka tanzania ni kubwa sana
kodi ya mshahara ni zaidi ya 18%
lizaboni sijui kama umeshawahi fanya kazi kama kweli wewe ni mfanyakazi uwezi pinga hili suala
Lizaboni afanye kazi ipi angejipendekeza kwenye buku 7?
Sidhani kama anajua hata maumivu yake na maltiplier effect yake kwa ndugu zetu na familia zetu!
He just that thing anybody can afford to loose!
 
Last edited by a moderator:

The concept of PAYE is based on 6 levels as following:
Level 1
Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
Hence
Taxable salary = Gross Salary – Pension amount
Level 2
Taxable salary that is equal or less than TZS. 170,000/= is not chargeable
Level 3
Taxable salary Between TZS. 170,000/= and TZS. 360,000/= is charged 14%

Level 4
Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3
Level 5
Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4
Level 6
Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5

kwa maelezo apo juu kilicho punguzwa ni level 3 tu, kama mshahara wako utapita zaidi ya apo unakwatwa izo nyingine kama ilivyo hainishwa
 
the concept of paye is based on 6 levels as following:
level 1
pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
hence
taxable salary = gross salary – pension amount
level 2
taxable salary that is equal or less than tzs. 170,000/= is not chargeable
level 3
taxable salary between tzs. 170,000/= and tzs. 360,000/= is charged 14%

level 4
taxable salary between tzs. 360,000/= and tzs. 540,000/= is charged 20% plus tax from level 3
level 5
taxable salary between tzs. 540,000/= and tzs. 720,000/= is charged 25% plus tax from level 4
level 6
taxable salary above tzs. 720,000/= is charged 30% plus tax from level 5

kwa maelezo apo juu kilicho punguzwa ni level 3 tu, kama mshahara wako utapita zaidi ya apo unakwatwa izo nyingine kama ilivyo hainishwa

mkuu naomba nisaidie kuwapa somo nami pia kama mtaalam hapa.

Paye (pay as you earn) maana yake kiswahili lipia kadri unavyopata, malipo yakiwekwa sawa kwa wote jina hili mara moja linakosa uhalali wa kutumika kabisa, hivo kiwango kinachoongelewa hapa hyo 13% ni vianzia vya kima cha chini cha mshahara tu na c vinginevyo. Ni kama serikali pia inavyobadilisha kima cha chini cha mshahara mara nyingi hutajwa vianzia na c kule juu kwa mabosi. Hivyo kadiri kipato kinavyoongeeka ndo pia kodi inavoongezeka mkuu, so kama dereva analipa 13% bosi wa juu wa taasisi mara nyingi anakatwa hadi asilimia 35 mfano mie nalipwa tzs 2,525,000 lkn paye nakatwa tzs 609,000 kwa mwezi hii= 609,000/2,525,000*100=24.12% ya mshahara wangu lakini serikali hata tin haijanipatia nikiagiza gari kama sina biashara inaniambia kaombe tin coz ww c mlipa kodi.

Naamin mleta uzi utakuwa umenufaika na paragraph hii japo kwa uchache mkuu!
 
Mkuu mbona sijaona........kama anavyoelezea huyu ndugu hapa chini?.......

Level 4
Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3
Level 5
Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4
Level 6
Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5

........
 
Mkuu mbona sijaona........kama anavyoelezea huyu ndugu hapa chini?.......

MKUU JAMAA KATOA STATISTICS KAMILI AMBAZO UKIKOKOTOA LEVEL ILIYOKUTANGULIA KAMA BS YAKO NI KUBWA BASI ALICHOLIPA YEYE KINAKUWA CONSTANT SAY TZS 100,000 ONGEZA TOFAUTI YA MSHAHARA UNAOZIDI LEVEL HUSIKA JUU MULTIPLY NA ASILIMIA HUSIKA. UKIFUATILIA UTABAINI KWA VYOVYOTE KILA MSHAHARA UKIONGEZEKA KODI INAONGEZA JAMBO AMBALO LINAKIDHI HATA JINA LA LIPIA KADIRI UNAVYOPATA MKUU! NI ISSUE SIMPLE TU MFUATILIA SPENSER-a UTAKUBALIANA NAMI KUWA ASILIMIA INAONGEZEKA KADRI UJIRA UNAVYOONGEZEKA.
 
Back
Top Bottom