P Diddy achangia milioni 224 Uganda

P Diddy achangia milioni 224 Uganda

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253

Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania.

Msanii huyo ametoa fedha hizo kwenye kampeni ya kusaidia huduma za afya za uzazi nchini Uganda.

Kampeni hiyoambayo inafahamika kama Mama Hope ilianzishwa mwaka 2016 na rapper French Montana.

didy.jpg

Kwa hisani ya Bongo5
 
Nikishinda lotery nitajenga hospitali.
 
Huyu kaka na usher Raymond hawazeeki jamani.....wala kubadilika cjui nini siri ya mafanikio hayo
Na dullysyks wa baby hi.....kwenye kujua anijuze plyz
 
Mbona tarehe siielewi

Wamarekani wanaanza kuandika mwezi, tarehe wanaweka katikati. Na hii ni wao tu, ndio maana na wao wanakuwaga confused sana wakiona jinsi watu wengine tunavyoandika tarehe.
 
Hiyo CHEGUE toka mwaka jana ilikuwa haijafika Uganda leo ndo imefika!!!!
 
Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania.

Msanii huyo ametoa fedha hizo kwenye kampeni ya kusaidia huduma za afya za uzazi nchini Uganda.

Kampeni hiyoambayo inafahamika kama Mama Hope ilianzishwa mwaka 2016 na rapper French Montana.

View attachment 677785

Kwa hisani ya Bongo5

Umeileta leo wakati ni tangu 17/ 11/ 2017
 
Huyu kaka na usher Raymond hawazeeki jamani.....wala kubadilika cjui nini siri ya mafanikio hayo
Na dullysyks wa baby hi.....kwenye kujua anijuze plyz
mazoezi na kujitunza.japo dully anapiga hata makonyagi lkn hachoki sura
 
Back
Top Bottom