Tarehe kumi na moja mwezi wa kumi na saba mwaka ....Mbona tarehe siielewi
Soma kwa nguvu utaielewa!Mbona tarehe siielewi
17/11Mbona tarehe siielewi
Tatizo mkariri Sana hapo tarehe kumi nasabaTarehe kumi na moja mwezi wa kumi na saba mwaka ....
Mbona tarehe siielewi
Umeileta leo wakati ni tangu 17/ 11/ 2017
Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania.
Msanii huyo ametoa fedha hizo kwenye kampeni ya kusaidia huduma za afya za uzazi nchini Uganda.
Kampeni hiyoambayo inafahamika kama Mama Hope ilianzishwa mwaka 2016 na rapper French Montana.
View attachment 677785
Kwa hisani ya Bongo5
mazoezi na kujitunza.japo dully anapiga hata makonyagi lkn hachoki suraHuyu kaka na usher Raymond hawazeeki jamani.....wala kubadilika cjui nini siri ya mafanikio hayo
Na dullysyks wa baby hi.....kwenye kujua anijuze plyz