Wakatì Jiga underground Diddy alikuwa akimiliki Bad Boy record label akiwamiliki Notorious BIG,Nas, Faith Evans na wasanii wengine kibao.
New Yorkers wanaamini BIG na PAC wangekuwa bado wako hai basi Jiga angezeeka akiwa ni underground.
Pesa ni hustles na timing, Kanye alishawazidi wote kwa mbali lakini kisanaa amekuzwa na kulelewa na Jiga ila utaahira wake na ujuaji mwingi akijiharibia kwa sponsors na business partners wakamtema na figures zikashuka drastically. Wote Jiga na Diddy mwanzoni waliishi kwa kutegemea sanaa lakini utajiri wao unatokana na business ventures hivyo hapo mwenye timing kali zaidi ndiyo anapaa zaidi.