Acha uongo.Hata historia zao hazifani, wakati Jiga anafanya hustling Diddy alikuwa dancer kama Moze Iyobo
Wakatì Jiga underground Diddy alikuwa akimiliki Bad Boy record label akiwamiliki Notorious BIG,Nas, Faith Evans na wasanii wengine kibao.Hata historia zao hazifani, wakati Jiga anafanya hustling Diddy alikuwa dancer kama Moze Iyobo
Acha uongo.
Wakatì Jiga underground Diddy alikuwa akimiliki Bad Boy record label akiwamiliki Notorious BIG,Nas, Faith Evans na wasanii wengine kibao.
New Yorkers wanaamini BIG na PAC wangekuwa bado wako hai basi Jiga angezeeka akiwa ni underground.
Pesa ni hustles na timing, Kanye alishawazidi wote kwa mbali lakini kisanaa amekuzwa na kulelewa na Jiga ila utaahira wake na ujuaji mwingi akijiharibia kwa sponsors na business partners wakamtema na figures zikashuka drastically. Wote Jiga na Diddy mwanzoni waliishi kwa kutegemea sanaa lakini utajiri wao unatokana na business ventures hivyo hapo mwenye timing kali zaidi ndiyo anapaa zaidi.
Hustling za kuuza sembe Brooklyn.Hata historia zao hazifani, wakati Jiga anafanya hustling Diddy alikuwa dancer kama Moze Iyobo
Hustling za kuuza sembe Brooklyn.
P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy ππππ Au Ndio Mganga Hajigangi πππView attachment 3148960