P Diddy ana ajenda nyuma ya pazia

P Diddy ana ajenda nyuma ya pazia

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,734
Reaction score
1,709
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.

Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.

Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho.

Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upunde waonekane kana kwamba hawana hatia kwa matendo yao
 
Wakili wake aliyekuwa anatamba kwamba he will prove him innocent,ameamua kukacha baada ya kuona ushahidi umezidi.
Sasa Puff Daddy labda amemtafuta wakili mwingine.
 
Didy is innocent, walioliwa vinyeo walijipeleka wenyewe kusaka fedha na umaarufu.
 
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.

Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.

Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho.

Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upunde waonekane kana kwamba hawana hatia kwa matendo yao
Kama ni kweli usemayo basi wangemwachia na R Kelly asingekaa gerezani mpaka leo hii
 
Muombee kwa mungu ,usimsengenye nilisema hapa kama yule ndo alikuwa wakili wa pdidy au mwanasheria wake ajiandae kufungwa milele
 
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.

Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.

Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho.

Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upunde waonekane kana kwamba hawana hatia kwa matendo yao
Hachomoki wazungu wameshamalizana naye
 
Back
Top Bottom