P Diddy anyimwa dhamana

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa kumpa dhamana kwa kigezo kuwa anaweza kutumia uwezo wake kuharibu mchakato wa upatikanaji wa haki, lakini pia makosa yanayo mkabili ni hatari sana.

Amerudishwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na maarufu kwa kuwekwa watu hatari.

Mambo ya kujifunza ni;
1. kweli sheria ni msumeno, hakuna aliye juu ya sheria....usivunje sheria kisa utajari ulio nao au cheo.

2. Malipo na hapahapa duniani wewe fanya ushenzi wako lakini iko siku utaangukia pua.Leo hii P Diddy yupo gerezani anasota
 
Huko ndio kuna sheria sio hizi sh### hole countries, wenye pesa sheria haiwakabi
 

Diamond umeandika Kwa uchungu Sana, kuliwa Witi sio Jambo la Mchezo
 
Gerezani aliko PDiddy kuna maisha mazuri kuliko Siku ya Sikukuu pale kwenu.🤣
 
Ameyakanyaga mandonga Mtu kazi ,amekula bata sana muache ya yeye ale PINCHI a-experience maisha mwngine.
 
PAYING IS HERE HERE
Malipo ni hapa hapa😄😄😄
 
daaaaah huyu msanii wa bongo aende Sasa kumpelekea msosi
 
Ni kwenye nchi zinazo heshimu katiba ya nchi. Vi nchi Kama Gabon na Equatorial Guinea mtu mwenye pesa au connection akifanya kosa Kama Hilo anaweza kukataa kukamatwa au akakataa kwenda gerezani au hata mahakamani.
 
Hapa tz maccm yako juu ya sheria! Rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…