P DIDDY: From mansion to cubbyhole (kutoka kwenye bangaloo hadi kwenye kinyampasila)



Ameandika Luqman Maloto
 
Ah jamaa alifaidi sana warembo. A life well lived
 
Yaani hapa kama namsikiliza Manju wa Muziki Masoud Masoud.
 
Maisha ya kitajiri, a well life lived..kesi zote hizo nina uhakika hakuna ushahidi hata mmoja. Ni kasumba kwa maskin kuchukia mafanikio ya tajir na ikitokea chance ya kukuharibia wanakuharibia na ndio furaha ya mafukara.
 
Mkuu sio yeye tu
Yaani ni sehemu ya ufuksa kwa wengi
Yeye ni muandaaji wa show tu katika mahekalu yake huku nae akishiriki uchafu
Siamani kabisa kama eti Didy alikuwa anafanya haya yote kwa miaka yote hiyo halafu ndio wanakuja kumkamata leo..... Na pia vile vile siamini kama ni innocent kabisa.

Ninachosema Kuna exaggerations za Hali ya juu kwenye hizi tuhuma , Tena wengine Wana visasi vyao wanapitia humo humo, yes Didy ametengeneza maadui wengi sana.
 
Nimesoma historia ya huyo Sam-Bankman Fried, aisee hii dunia Ina watu vichwa sana halafu Bado bwana mdogo tu, kweli tuwapeleke watoto shule nzuri wapate maarifa hii dunia wataifanya chochote wanachojiskia.
 
Maisha ya kitajiri, a well life lived..kesi zote hizo nina uhakika hakuna ushahidi hata mmoja. Ni kasumba kwa maskin kuchukia mafanikio ya tajir na ikitokea chance ya kukuharibia wanakuharibia na ndio furaha ya mafukara.
Absolutely right... Karibu watu wote wanaomtuhumu ni watu weusi, Didy ametombaa wanawake karibu races zote huko Marekani, akina JLO na wanawake weupe wengine Kibao tu lakini kwenye hizi tuhuma hapa tunao waona ni wanawake weusi tu.. je, Ina maana Didy alikuwa anawabagua watu wa kuwafanyia huo ukatili wa kingono? Kwamba aliona wanawake weusi pekee tu ndio wakumfanyia huo ukatili?? Kwanin hatuoni hao watu wa race zingine walijitokeza kwa wingi kama walivyojitokeza blacks?

Kuna maswali ukiujiliza unaona kabisa hapa Kuna mpango umesukwa na mtu mweusi anatumika kumuangamiza mweusi mwenzie... Yes, blacks have been programmed to destroy each other systematically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…