P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

Wamevaa vizuri… Nimependa
 
Jigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana

Jigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana.
Kweli kabisa udogo nnaosemea hapa ni kimuziki maana tangu kitambo Didy alishaanza kuwa Mogul katika muziki maana alikuwa pale uptown Records kama A&R excutive kabla ya baadae kufukuzwa na kuunda label yake ya badboy Records wakati ambao Jay Z bado anahangaika kutoka kwenye maisha ya kigangster na kuwa mwanamuziki tayari Combs alishakuwa na jina
 
Duh huko duniani watu wanakua sana, yaan huyo miaka 15 yupo tyr kabisa
 
Mama karudisha mpira kwa kipa duuh yule Raridgo kampiga chini kweli mapenzi mabaya [emoji849][emoji849]
Yaani duniani kila mtu na mtu wake, jlo apinduwi kwa Ben jamaa alimpiga chini vibaya, sasa sijui jlo kaenda ku revenge.
 
Yaani duniani kila mtu na mtu wake, jlo apinduwi kwa Ben jamaa alimpiga chini vibaya, sasa sijui jlo kaenda ku revenge.
🀣 itakuwa yaani mie huyu niwe na hela zangu nibwagwe kizembe alafu bado nirudishe majeshi aaah wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…