Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
"P DIDDY" ni kama alijua kitakacho tokea.
Mali zote ziliandikwa kwa jina la #mama yake hakuna mali yake iliyo kwenye jina lake.
Mali zote ziko katika jina la mama yake na mtoto wake, hata wamshitaki mpaka ufalme wake uanguke hakuna mtu atakayepata senti kutoka kwake.
Utajiri wake wa kizazi umehifadhiwa Kwa akili sana kupitia jina la mama yake na watoto. Hata iweje hawawezi kugusa pesa au kampuni yake yoyote.
Sakata la "P DIDDY" mpaka sasa haliwezi kuathiri familia yake hata kidogo kwasababu ataacha utajiri mkubwa sana katika familia.
Umejifunza Nini kutokana na Kisa cha huyu mwamba?