P Diddy ni kama alijua kitakachotokea

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626


"P DIDDY" ni kama alijua kitakacho tokea.

Mali zote ziliandikwa kwa jina la #mama yake hakuna mali yake iliyo kwenye jina lake.

Mali zote ziko katika jina la mama yake na mtoto wake, hata wamshitaki mpaka ufalme wake uanguke hakuna mtu atakayepata senti kutoka kwake.

Utajiri wake wa kizazi umehifadhiwa Kwa akili sana kupitia jina la mama yake na watoto. Hata iweje hawawezi kugusa pesa au kampuni yake yoyote.

Sakata la "P DIDDY" mpaka sasa haliwezi kuathiri familia yake hata kidogo kwasababu ataacha utajiri mkubwa sana katika familia.

Umejifunza Nini kutokana na Kisa cha huyu mwamba?
 
Na wewe ni nani yake P diddy maana umeandika kwa uchungu sana?
 
Hakimi kijana wa Allah muislamu pekee mstaarabu Mungu ambariki.

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…