Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Sep 22, 2024 #1 Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 22, 2024 #2 Ally nsomali
Phdum JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,322 Reaction score 3,278 Sep 22, 2024 #3 Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua?
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Sep 22, 2024 Thread starter #4 Phdum said: Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua? Click to expand... Wakina Diamond na Babu Tale wanalo jibu hata Burna Boy naye anajua 🤣🤣🤣
Phdum said: Hayo ni mafuta ya nini? Ya utelezi au ya kutatua? Click to expand... Wakina Diamond na Babu Tale wanalo jibu hata Burna Boy naye anajua 🤣🤣🤣
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Sep 22, 2024 Thread starter #5 Kwa kifupi usitamani maisha ya mtu hujui nyuma ya pazia kuna nini
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Sep 22, 2024 #6 Mafuta ya watoto/mafuta ya binadam wachanga. Kuna mafuta ya alizeti, ya nazi, ya kondoo na kuna ya binadam
Mafuta ya watoto/mafuta ya binadam wachanga. Kuna mafuta ya alizeti, ya nazi, ya kondoo na kuna ya binadam
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Sep 22, 2024 #7 Hiyo picha hapo mbona Kama imepikwa?