P-funk Majani kawasha moto, kwa hali hii 2020 majani atatushangaza

Majani naona sometimes kama vitu vyake haplan Vizuri.

Nakumbuka wakati anatangaza kurudi akiwa na Q ,kazi yao ya kwanza ilikuwa CNN ya Ngwair baadaye akapotea na Q naye sijui yupo wapi.

Mara ya pili akaja na projects ya bongolo hivyo hiyo akapotea.

Sasa hivi karudi tena sasa sijajua ana plan gani safari hii,ngoja tuone.
 

Thats true..Ukimsikiliza akiongea mipango yake utajua kbs jamaa ana kitu kichwani lkn utekelezaji ndio shida.. the guy need a serious management i think !! .. anaujua mziki na anajua alipojikwaa akubali kuongozwa tu sasa kwenye baadhi ya maeneo hawezi fanya kila kitu mwenyewe
 
Majani atulie tu atafute producer mwingine awe anampa maufundi kutengeneza beats, yeye kichwa kishachoka, time yake ilishapita, asilazimishe, amcheck Master J kawaachia vijana ZaChar yeye anafanya issue nyingine.
 
Kila nyakati na watu wake, nyakati zako zimeisha majani. Achia ngazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…