Nyie si ndo wkt mko chuo mlikua mnawacheka walimu?..... ukitaka kua mwalimu rudi shule ukasome tena bachelor ya miaka mitatu.
:smile-big::bange:😎 We utaku mwalimu tena mwalimu mla ndumu.
:focus:
Inawezekana ila sio ktk teaching level. Btw kama unapenda kufundisha apply kwenye private schools.
thnx kaka kw akuelewa nko katika hali ganPole sana mkuu,hilo linawezekana usikate tamaa.Najua uko katika hali gani.