Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Rais wa Rwanda Leo ni mgeni rasmi kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 57 ya jeshi la Msumbiji (FADM)
Ikumbukwe kuwa jeshi la Rwanda ndio linalopewa kila aina ya sifa kwenye mapigano ya kuwakimbiza magaidi jimboni Cabo Delgado na jeshi la SADC linaonekana Kama nyoka wa kibisa na halina mpango wowote lipolipo na kujitia aibu mpaka raia wa Botswana kuuliza kuwa wanajeshi wao wameenda likizo nchini Msumbiji au wameenda kupigana!?.
Toka jeshi la Rwanda limeingia nchini Msumbiji kuna mwandishi wa habari wa kinyarwanda katekwa na watu wasiojulikana na Rais wa wakimbizi wakinyarwanda waishio nchini Msumbiji ameuawa kinyama Kwa kupigwa risasi kwenye makazi yake pale Liberdade,Matola. Maputo
Ukaribu huu wa kagame na nyusi sijui nini kitatokea huko mbeleni!
Nalog off