Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
mkuu uwe unatupia kwa kiswahili , hiyo lugha ni shida!
Nimeambulia ''P Square na Nollywood''...loh!!
Mmmh stunna huo ni mkono wake au?
mbona picha ya chini ana kucha ndefu...
Mmmh stunna huo ni mkono wake au?
mbona picha ya chini ana kucha ndefu...
Kono la kiume hilo, huyo mrembo hauwezi kuwa wakena mm nilitaka kuuliza huo mkono wa kike au wa kiume?
Kono la kiume hilo, huyo mrembo hauwezi kuwa wake
Hata hiyo ring yenyewe kwenye huo mkono, sio ya engagement...ninayoijua mieKwani wa kiume nao unavaa engagement ring ama..
Hata hiyo ring yenyewe kwenye huo mkono, sio ya engagement...ninayoijua mie
Ni mkono upi ni sahihi?