Prism Tower Nairobi won the American Architectural design of the year 2017..congrats to prism tower

Prism Tower Nairobi won the American Architectural design of the year 2017..congrats to prism tower

Hongereni ila Muwe wakweli pia.

28e49a7acf7b159daac684ddbe853539.jpg
View attachment 652054
Umewaumbua waongo hao wazee wa Eti mt.kilimanjaro kenya tz n baba yao just matter of time tu
 
mmeshinda american award lakini America kwenyewe huwezi kukuta kitu cha ajabu ajabu kibaya namna hiyo... labda huko India walikotoka hao mafundi
 
Maneno ya maskini.
Nenda naorobi ndo utajua wao ni east africa ama la?

Wale ni makapitakist, kila mtu kule anapambana na hali yake si hapa kulia lia njaa na kupewa misaada


Sijaelewa hoja yako kabisa. Sijui unalenga nini. Kwamba Kenya haiko East Africa? Kauli yangu inahusianaje na umasikini? Je Wakenya sio masikini? Ni wapi nimesema.Kenya sio capitalists?

Labda nikufafanulie tu. Mafanikio ya jirani yako usiyawekee husda bali jipe changamoto walau kumkaribia. Unapo mbeza haubadilishi hali mbaya uliyo nayo hasa ndani ya roho yako.

Huko kulialia kwa sisi Watanzania unako kuzungumzia ni sababu ya roho mbaya kama hii yako. Mtu akifanikiwa tayari mnahukumu kuwa ni mwizi. Capitalism sio wizi hata kidogo bali wenye akili fubaa za kijamaa ndio wanabaki kuona hivyo.

Pole sana ndugu mwananchi!
 
Nchi za wengine zinaendelea sisi tumesubiria tena
 
Hongera kwa Anuj Onyango, Arshad Amolo, Huzaifa Otieno, Melissa Kiambu. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Personally to me it is an ugly design. Different yes but ugly. Ningekuwa mimi ndo nachagua successful designs nisingechagua hiyo.
Ila hongereni majirani. East Africa is proud!
 
Mbona aina hii ya majengo ziko nyiiingi sana,
Unless kuna extra features, but its an OK building
 
Hongereni wakenya sisi tuzo zetu zipo bandarini tunakamata magari yamekaza bandarini miaka miwili na juzi tumekamata usd1bil bandarini so tupo vzr kwe kitengo cha kukamata
 
Back
Top Bottom