Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
habari wana JF doctor, naomba kujulishwa na wataalam wa hapa kuhusu P2 dawa inayotumika ndani ya masaa 72 iwapo umefanya unprotected sex siku za ovulation,je hii dawa ikitumika wakati tayari una mimba(ila ulikunywa hukujua kama tayari una mimba) ina madhara yeyote kwa kiumbe tumboni????, naomba kujulishwa,asanteni