Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hila kuna rangi nzuri zisizo paukaCheap is expensive.
Imagine kuhudumia rangi ya nyumba ambayo inapigwa na jua na mvua bila hata shade
Hizi nyumba za paa ya kujificha ni takataka
Gorofa hua zina shade kumbe?Cheap is expensive.
Imagine kuhudumia rangi ya nyumba ambayo inapigwa na jua na mvua bila hata shade
Hizi nyumba za paa ya kujificha ni takataka
Gorofa hua zina shade kumbe?
Hila kuna rangi nzuri zisizo pauka
Ungeweka angalau sampuli kadhaa kunogesha uziKati ya hizi paa zipo zinakaa muda mrefu zaidi na gharama nafuu kuezeka?
Sidhani kama hizo paa ni cheap kama wengi mnavyozitafsiri.Ndio gharama yenyewe. Usifananishe mmiliki wa ghorofa na nyumba ya kawaida
Kama mtu anataka kuokoa may be mil 3 hadi 5 kwa kujenga nyumba iliyofichwa paa jee ataweza kuhudumia kuta za hiyo nyumba?
That was my concern
.Paa za kujificha ni Bei rahisi zinachukua mbao chache na bati chache ila wengi wa Nalalamika ziwahi kuanza kuvujisha maji mapema usipopata fundi mzuri, Paa za kawaida ni ghali sababu zinakula mbao nyingi na bati nyingi ila zikiwekwa Sawa Sawa zinadumu
Kwanza mababu zetu waliishi mapangoni na misituni.Eti unakuta bongo mtu anajenga paa la kujificha watu hawajui hata maana.
Paa la kujificha ni Maalumu kwa nchi za jangwani zisizo na miti zenye upepo mkali ile gema la juu ndio uzuia nyumba isiezuliwe na upepo maana kule ukijenga paa za kuonekana zinabebwa na upepo.
Sehemu za joto zisizo na upepo paa sahihi ni ya kuonekana sababu inasadia kupooza nyumba joto kwa sababu ya uwepo wa nafasi kubwa kati ya paa na selling.
Hizi za kujificha na mafundi wetu,plus bati na mbao visivyo na ubora tegemea kuzeeka mara mbili.
Kuna ndugu yangu amejenaga hizo paa za kujificha aisehh hilo joto lake na kajengea dar ,ilibidi afumue kidogo gymsum bodi vyumbani ili joto ilisiwe kali maana usiku hulali kwa jotoEti unakuta bongo mtu anajenga paa la kujificha watu hawajui hata maana.
Paa la kujificha ni Maalumu kwa nchi za jangwani zisizo na miti zenye upepo mkali ile gema la juu ndio uzuia nyumba isiezuliwe na upepo maana kule ukijenga paa za kuonekana zinabebwa na upepo.
Sehemu za joto zisizo na upepo paa sahihi ni ya kuonekana sababu inasadia kupooza nyumba joto kwa sababu ya uwepo wa nafasi kubwa kati ya paa na selling.
Hizi za kujificha na mafundi wetu,plus bati na mbao visivyo na ubora tegemea kuzeeka mara mbili.
YAaani😂😂😂 na nyumba za wahindi za miaka ya 1940 huko na zenyewe ni za paa la kujifichaGorofa hua zina shade kumbe?