Huo uzoefu unataka awe ameupata wapi?Simba imemtangaza Pablo Franco (41) kuwa Kocha Mkuu mpya akichukua nafasi iliyoachwa na Didier Gomes Da Rosa
Kocha huyo alikuwa anainoa Al Quadsia ya Kuwait. Pia amewahi kuzinoa Fuenlabrada, Getafe na amewahi kuwa Kocha Msaidizi Real Madrid.
Swali Je Ana uzoefu upi wa Soka la Kiafrika?
CV yake inaonyesha hajawahi kufundisha barani Afrika. Changamoto za soka la kiafrika anazitambua.
Hapa naona Simba wamejipiga na kitu kizito kingine.
View attachment 2001189
Acha kukariri Matola yupo na wazee wa ndumba wapo, soka la Afrika wanacheza wachezaji 30 au mipira inakuwa miwili uwanjaniKuionao Sevilla ama Qadsiya sio sawa na kunoa timu za Africa....... ningewaona wa maana kama mngechukua kocha mwenye profile kubwa kwa Africa hasa kwenye mashindano ya CAFCL&CAFCC
Sasa hiyo experience ataipata wapiSikutegemea kama Simba SC wangechagua jina badala ya Experience...