Pablo Franco Kocha Mpya wa Simba SC

Unanikumbusha wale Waspain wa Azam FC.

Waliletwa ili kubadili falsafa ya mpira wa Azam FC.

Mwisho wa siku experience ya soka la kiafrika na tamaduni zake zikawafanya washindwe kazi.
Mzee Simba haina malengo ya kucheza Na wala haichezi soka la kiafrika la kubutua butua... inacheza soka la kisasa kama team za north Afrika i.e Algeria, Misri nk. Ambao wanafata soka la Ulaya
 
Watanzania ni watu tunaojifanya tunajua kuchambua kila kitu. Nasoma comments za watu mpaka nashangaa.... Kocha hamjui kapatikanaje, mkataba unasemaje, wameingia makubaliano gani mpaka wamemchukua... lakini tayari watu wameshapata mpaka hitimishi la kocha kwamba hana kitu. Jamani tujifunze kuheshimu taaluma za watu, na wakati mwingine ni bora kukaa kimya na kusubiri muda uamue.
 
Simba wamenunua SAMSUNG GALAXY Note 20 Ultra Kwa Tsh Laki tatu.

Hongera mtani.
 
Hakuna kocha hapo, nk msimamizi wa mazoezi
Hahaha kocha alieifundisha getafe la lifmga yaani.kocha mkuu getafe la liga 🤣🤣🤣🤣🤣 afu akawa msaidizi wa zidane hahajja aisee ingia transfrr market ujionee ma cv ya huyu mwamba yaani unaambiwa yy ndio alikua anawapika kina modric mtakufa
 
Ni mwendo wa total fotbol falsafa za guardiola hilo soka la africa litaingia lenyewe kwenye mfumo sahivi ni pasii 1000 per match
 
Ni mwendo wa total fotbol falsafa za guardiola hilo soka la africa litaingia lenyewe kwenye mfumo sahivi ni pasii 1000 per match
Nashangaa watu wanachonga Sana watu hawaelewi jinsi gani soka la Simba msimu uliyopita caf lilivyokuna watu
 
Acha kukariri matola yupo na wazee wa ndumba wapo,soka la afrika wanacheza wachezaji 30 au mipira inakuwa miwili uwanjani
Kwani siku unabikiriwa na makirikiri matola hakuwepo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hatuokoti makocha km.nyie. mnatuletea mara mwinyi zahera mara yule alowaita manyani mara kazeni mara heeeehhh tulia Nyani ndio kwanza kunapambazuka


Utayakumbuka haya maneno yangu.
 
Aseee....
Eti uzoefu wa soka la kiafrika, hakuna soka la kiafrika ila kuna upumbavu wa kiafrika ambao hautakiwi kuvumiliwa.
Tofauti iliyopo ni moja tu, hapa bongo tunatumia Nguvu nyingi bila akili, mfano mwepesi mpira anaoucheza prisons.
Haya ndo majibu tunataka yaani kuhusu soka la Afrika.

Halafu nashindwa hata kuwaelewa hawa Jamaa, ina maana soka la Afrika lina mafanikio kuliko Soka la Ulaya.
 
Kuongezea maana watu kusahau jadi yao.Kipindi Mazembe anachukua CAF champions league, hii formation ya 2-2-6 ndio kwa mara ya kwanza ilitambulishwa katika hilo soka wanaloita la kiafrika.Sasa taarifa iwafikie hii formation ni zaidi ya uzoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…