KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA
- Kocha yeye kila siku kulia
- Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA
- Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi, kutumia wachezaj vzr
- Kocha anadrooo nyingi muno hata mkumletea MESSI hawezi kudelievr
- MATOLA AONDOKE aje PAWASA au KOCHA WA KAGERA
- Fitness kocha arudishwe yule alikuwa na gomes
- Makipa wabaki, Beno mzuri tuspaniki
- Rage na Kaduguda njaa zao tu wanaposema tumeuza miquesson na chama hela hazoonekani yeye aliuza okwi sawa hela zilifanya nini si bora sasa hv hata tuna uwanja wa mazoezi
- Tungemuacha Pablo tungeumia msimu ujaoooo