huu ujinga tu watu wameshaanza kufanya operation ili wafanane na Obama. Unajua kila mtu, vile vile alivyo ana-quality zake, na ukitaka kufanikiwa chakarika hivyo hivyo bila kubadili sauti, sura, rangi nk. ni ujinga kujikana ulivyo na kujifananisha na mwingine.