tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
nimesikia tetesi kwenye IT meeting leo kuwa TTCL wametoa package mpya za internet, ambazo wanachaji kwa saa, something like Tshs 1000 kwa saa unlimited downloading. kuna yoyote mwenye habari hii kamili, ni kwa broadband ya kawaida au ni pamoja na mobile broadband?