nimesikia tetesi kwenye IT meeting leo kuwa TTCL wametoa package mpya za internet, ambazo wanachaji kwa saa, something like Tshs 1000 kwa saa unlimited downloading. kuna yoyote mwenye habari hii kamili, ni kwa broadband ya kawaida au ni pamoja na mobile broadband?
i think hii inaweza kuonekana kama ni cheaper lakini sio cheap kivile...... 1000 x 12 hours that is 12,000/= kwa siku wakati for 2 gb ambayo normal usage inafaa napata kwa 10,000 kwa wiki....
It also depends on download speed. If download speed is below 150Kbps, that is very very expensive, unless there is a time counter inside da modem, that it stops time when u stop using internet. Otherwise . . . .
Najaribu ku analyze, kwani bei ya cafe ni sh ngapi? sio around 2000 kwa saa?kweli kabisa mfano voda wanayo kwa 10,000/= unlimited download kwa wiki.... ila ukiwa unadownload wanakata connection everytime.... wizi mtupu...... haya mambo mpaka kwanza upate recommendation kwa mtu ambaye ameshatumia....
No matter how TTCL puts it 1000 per hour is very expensive....... even if its unlimited
Najaribu ku analyze, kwani bei ya cafe ni sh ngapi? sio around 2000 kwa saa?