mess_giftpoint
Member
- Feb 13, 2023
- 6
- 3
Wapi nimeandika laki 4?Ndio uuze laki 4 mbona bei ghali ivo?
Hivo ujue unakumbushwa kuweka beiWapi nimeandika laki 4?
Andika mahali unapopatikana na bei ya packages sio unaweka tu watu wajipangie bei halafu uanze kulia lia.Natengeneza zawadi, kuprint pillows, cups, pia nafunga zawadi mbali mbali za maharusi, Send-off, birthday, Bila kusahau watu wa maofisini Notebook, bottle, executive diary set.
Kwa mawasiliano 0768510733
View attachment 2518164
View attachment 2518172
View attachment 2518230