Packaging kwaajili ya bidhaa ndogondogo

Packaging kwaajili ya bidhaa ndogondogo

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Naomba kuuliza nikihitaji package ya namna hiyo kwa ajili ya bidhaa mbalimbali je nitapata vipi naombeni wadau mnisaidie nijue namna ya kupata package za bidhaa zangu.

AZAM-ICE-CREAM-BRAND-_-AZAM-BALLCONE.jpg
 
Package za kawaida utapata madukani, maduka ya vifungashio.....
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom