Packaging machine

Packaging machine

Milioni nne na nusu sio elfu 50, pambana uweke picha ukamilishe tangazo lako. Wakati mwingine mnajichelewesha kufanya biashara, unadhani jiji.co.tz na kupatana.com kwanini watu wanauza sana!?..,sababu ya bidhaa kuwa na picha kibao. Unavutia watazamaji wengi, huko Whatsapp utapata wasumbufu wengi wakitaka kujua ikoje tu. Ila ukiweka picha mtu analinganisha bei na kupatana na kwingine hadi China mpaka akucheki Whatsapp jua yupo serious sana, unapunguza jam. Na hili mpaka mfundishwe shuleni!?
 
Ikoje hiyo mashine?
E8272636-F95F-4A0F-B7D1-B88337112C81.png
 
Back
Top Bottom