M mndenge pro Member Joined Apr 11, 2016 Posts 19 Reaction score 5 Jul 8, 2016 #1 Wadau wenye ujuzi wa kutengeneza packaging material naomba msaada wamawasiano, hatakama unafahamu wadau wanao weza Ku Fanya kaz iyo pia, itakuwa msaada mkubwa kwangu
Wadau wenye ujuzi wa kutengeneza packaging material naomba msaada wamawasiano, hatakama unafahamu wadau wanao weza Ku Fanya kaz iyo pia, itakuwa msaada mkubwa kwangu
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jul 8, 2016 #2 packaging ya nini? aina gani? plastic au karatasi?
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jul 8, 2016 #3 unataka kufunga nini mkuu?
M mndenge pro Member Joined Apr 11, 2016 Posts 19 Reaction score 5 Jul 8, 2016 Thread starter #4 Hornet said: packaging ya nini? aina gani? plastic au karatasi? Click to expand... Plastic
M mndenge pro Member Joined Apr 11, 2016 Posts 19 Reaction score 5 Jul 8, 2016 Thread starter #5 Isanga family said: unataka kufunga nini mkuu? Click to expand... Nataka kufungashia bidhaa kama vle matunda, nataka kufanya biashara katka hali ya ustandard kwa kutumia hz agriculture product
Isanga family said: unataka kufunga nini mkuu? Click to expand... Nataka kufungashia bidhaa kama vle matunda, nataka kufanya biashara katka hali ya ustandard kwa kutumia hz agriculture product