Kinachopakiwa nafikiri ni ile mbegu ya ndani. Hata hivyo, ile nyama inayoiva ikikamuliwa inaweza oia kupakiwa kama juisi au pombe(mabibo wine).Korosho huwa wanauza nini maana kuna mbegu yenye karanga ndani na kuna ile nyama ambayo huiva na tunakula iliyo kati ya mbegu na tawi, hapo kinachopakiwa au kuuzwa nini?,
Kinachopakiwa nafikiri ni ile mbegu ya ndani. Hata hivyo, ile nyama inayoiva ikikamuliwa inaweza oia kupakiwa kama juisi au pombe(mabibo wine).
Suppermarket huwa kuna karanga hivi zimejikunja kama mbegu za korosho huwa nazipena sana vipi ndio product yake nn? au hutumikaje?
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: watu tuko wengi dunianiZile zinaitwa "cashew nuts" ila kama zinatoka mtwara basi zitakuwa ndio korosho