Packaging ya nyama na masoko yake

YUDITHA

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
28
Ndugu ,mimi ni mfugaji wa kuku kwa muda nimekuwa nikiuza wakiwa wazima.

kwa sasa nataka niongeze thamani ya kuku wangu nifungashe, niweke label, na kuuza. nzifahamu hatua zote za kupitia kabla sijaingiza mzigo sokoni.

Ninachoomba kutoka kwenu naomba mnisaidie upakikanaji wa soko kwa bidhaa ninazotaka kuunza kazalisha. Niko kibaha .

Niambieni sehemu yeyote nitaenda kuongea nao iwe ktk masuper market, hotelini, cafe, vyuo ,sherehe mbali2 ikiwemo tenda za harusi n.k

0753359245 ,0713299513 Naomba tuwasiliane kwa namba hizo.
 
Wanaofanya packaging kamata fursa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…