Hamjambo, mimi si mjuvi kwenye mambo ya games ila mara nyingi nimekua napigwa kwenye pad za ps2 na ps3
Naomba mnisaidie jinsi ya kuzitofautisha pad imara za duka na fake
Na pia pad imara za mtumba na fake nimechoka kuibiwa.

Mkuu pad za mtumba always uwa ni Kama zimechoka choka Hana keypad zake uwa laini lain kutofautisha na zile za dukani ambazo zinakuwa ngumu pia pad za mtumba uwa hazionekan Kama mpya na huwezi kuikuta kwenye box