Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili...
we mkorofi inaonekanaUsinipangie tafadhali hunihusu kwalolote.
Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili....
R.I.P Filikunjombe
Yesu alipokuwa anatangaza amani alikuwa anatangaza kuheshimiwa kwa Katiba kwa nchi ambazo zitakuwa na Katiba kwa kuwa Katiba ndio makubaliano ya namna ya uendeshaji wa taasisi au nchi. Kiongozi wa dini anayetaka kuandikwa kwa Katiba inayobeba matakwa ya jamii, huyo anakuwa anafanya kile kile ambacho kimefanywa na Yesu zaidi ya miaka 2000 iliyopita.Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili...
Wewe umeacha?Dhehebu hilihili ndio Lina maaskofu mashoga .
Hivi kuna sehemu kwenye Biblia au Quran inasema watawala wa viongozi waapishwe kwa hivyo vitabu vitakatifu?Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili..
Ninachokiona kwa wafuasi wa watawala na serikali za ki Africa ni kutokupenda kitu kinachoitwa HAKI kwa kila mwananchi, hata wale walio nje ya system. Wanajisikia kichefuchefu pale KATIBA ya nchi na TUME ZA UCHAGUZI zinapotoa haki kwa wananchi wote bila kubagua...
kazi ya askofu si kusimama kwa niaba ya watu anasima kwa niaba ya Mungu.Kazi za kusimama kwa niaba ya watu ni za wanasiasa wakiwemo wabunge ,wanaharakati nkYesu alipokuwa anatangaza amani alikuwa anatangaza kuheshimiwa kwa Katiba kwa nchi ambazo zitakuwa na Katiba kwa kuwa Katiba ndio makubaliano ya namna ya uendeshaji wa taasisi au nchi. Kiongozi wa dini anayetaka kuandikwa kwa Katiba inayobeba matakwa ya jamii, huyo anakuwa anafanya kile kile ambacho kimefanywa na Yesu zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Huyo "mtaalamu mmoja" atakuwa ni zwazwa kwa sababu hajui kwamba wakati kila mmoja anatakiwa asimame katika nafasi yake, wengine wakiwemo maaskofu nafasi yao ni pamoja na kufanya "checks & balance", na wanapohamasisha kuandikwa Katiba mpya na au kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi wanakuwa wanatekeleza hilo!
Kwahiyo marehem Mzee Mkapa alitudanganya aliposema anajuta watu wazanzibar waliouwawa na polisi wakati wa Utawala wake?Sumu ni nzuri sana pale inapotumika kufanya kazi iliyokusudiwa na ni mbaya sana inapotumika kufanya isichokusudiwa...
Kwani mikutano ya injili au kanisa niya Askofu?kazi ya askofu si kusimama kwa niaba ya watu anasima kwa niaba ya Mungu.Kazi za kusimama kwa niaba ya watu ni za wanasiasa wakiwemo wabunge ,wanaharakati nk.....
Nianze hilo la kuapishwa kwa vitabu vya dini.HUYO MWAPISHAJI MWENYEWE HUWA SIO KIONGOZI WA DINI!!!!! au hujaliona hilo? Kinachofanyika wanakijua wenyewe acha kuhusisha viongozi wa dini kwenye hilo.mTU SI KIONGOZI wa dini anasimama mbele ya mtu asiye kiongozi wa dini kuapa utasemaje hapo kuwa viongozi wa dini wanaapisha?Hivi kuna sehemu kwenye Biblia au Quran inasema watawala wa viongozi waapishwe kwa hivyo vitabu vitakatifu?
Unaweza kuitenganisha Siasa na Dini?....
Ulikuwa hujui?Daaa kumbe Mtikila aliundiwa zengwe?
Umejibu post/maswali yangu au nini hiki? Vipi ,uliwai kuhoji au kuwakataza kua kwanini wanatumia vitabu vya Dini wakati hao si viongozi wa Dini?Nianze hilo la kuapishwa kwa vitabu vya dini.HUYO MWAPISHAJI MWENYEWE HUWA SIO KIONGOZI WA DINI!!!!! au hujaliona hilo? Kinachofanyika wanakijua wenyewe acha kuhusisha viongozi wa dini kwenye hilo.mTU SI KIONGOZI wa dini anasimama mbele ya mtu asiye kiongozi wa dini kuapa utasemaje hapo kuwa viongozi wa dini wanaapisha?....
Niseme wazi ASkofu Tutu alipoteza muda na nguvu bure aliokuwa akiwatetea mbona ndio wabaguzi wakubwa wa waafrika wenzao.Afrika kusini sasa hivi waafrika toka mataifa mengine wanabaguliwa kuuawa na maduka kuchomwa moto na waaftrika weusi wenzao.Ulishasikia wazungu waafrika kusini wamepiga waafrika weusi wahamiaji toka mataifa mengine Afrika ya kusini?Vipi Bishop Desmund Tutu alikua anakosea kupinga uonevu na ubaguzi wa rangi?
Vipi marehem Papa Paul ii alikua anakosea kuwatetea wapalestina dhidi ya dhuluma ya Israel?
Kiongozi sahihi, imara na makini ni yule anayeweza kuyaona makosa yaliyo ndani ya mfumo, asiyekubali na akayafanyia kazi makosa hayo hata kwa gharama ya kuwajibika yeye na kuwajibisha watendaji wake. Na hicho ndicho aluchofanya Mkapa.Kwahiyo marehem Mzee Mkapa alitudanganya aliposema anajuta watu wazanzibar waliouwawa na polisi wakati wa Utawala wake?
Moja ya wajibu wa raia na kulinda HAKI yake au na ili ulijui?
Vitabu vya dini sio miliki ya mtu au dini fulani ni vya Mungu na vinauzwa madukani ndio maana waweza kuta mkristo ana kurani nyumbani na mwislamu ana biblia nyumbami na hata vyuo vya kipagani hutumia Biblia kufundishia English Literature!!! HUwezi kuzuia mtu asinunue!!!Umejibu post/maswali yangu au nini hiki?Vipi ,uliwai kuhoji au kuwakataza kua kwanini wanatumia vitabu vya Dini wakati hao si viongozi wa Dini?
Sasa kuna tofauti gani kati yao na Askofu Mwamakula ...maana na yeye anataka Taifa liwe na Katiba Mpya ili watu waishi kwa haki na Taifa lipige hatua kwenye Demokrasia. Anataka Tume Huru ili tuondokane na lawama kwenye Uchaguzi.
Hivi mchungaji Martin Luther alikua anakosea kama kiongozi wa dhehebu/ dini kupinga ubaguzi Na kudai usawa?
Mleta mada,PADRE 'AJILIPUA' KWA ASKOFU MWAMAKULA KUHUSU "MATEMBEZI YA HIARI"
Nathan Peter (pichani) au Padre Haule ambaye ni Kasisi wa Kanisa Anglikana Tanzania ameamua kujilipua kwa kuandika yafuatayo katika kuchangia andiko langu katika ukurasa wangu:
"Kama unatumwa na wenye mihimili hiyo sawa usintamaze kwani nawe ni wao, lakini Kama unajituma , Anza kutafiti alipo mzee mtikila na anachokifanya kwa Sasa."
Maneno ya Padre huyo siyo ya kupuuza. Anagusia wenye mihimili na anaongea kuhusu Mtikila pasipo kumtaja Mtikila yupi! Inawezekana Padre anajua kilichompata Mtikila anayemtaja na sababu za kumpata hayo yaliyompata. Kuna uhusiano gani kati ya yaliyompata Mtikila na yanayoweza kumpata Askofu Mwamakula, hatujui. Labda Baba Padre anajua! Askofu anajua kuwa huyo Padre ni kada wa chama kimoja cha siasa nchini ingawa hajui uhusiano wake na hao wenye mihimili au Mtikila
Nilipokuwa mdogo, jirani kulikuwa na Kambi ya Jeshi kule Ipyana na Kibugujo (Kyela)! Tulifundishwa kutokuwapuuzia watu tukikutana nao maporini! Kuna mmoja alikuwa anajifanya kichaa na kuishi mwituni kumbe kule msituni alikuwa ameweka ofisi yake shimoni! Bila shaka ujumbe wa Padre kwa Askofu Mwamakula umefika!
Ni vizuri Padre na wengine wakatambua kuwa Askofu ataongoza hayo "Matembezi ya Hiyari" nchi nzima na wala hahitaji kufanya utafiti wa kazi anayoifanya huyo Mtikila aliyetajwa! Askofu alizaliwa siku moja na atakufa siku moja iwe kwa ugonjwa, risasi, sumu, ajali, uzee, au kuliwa na wanyama wakali, nk haijalishi!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 1680849