Padre 'ajilipua' kwa askofu Mwamakula kuhusu "Matembezi ya hiari"

Kumbe Martin
Kumbe mchugaji Martin Luther JR(I HAVE A DREAM ) alikua wa kabisa tu ...napoteza muda
 
Sijaelewa kidogo.... usintamaze lina maana gani.

Ila nadhani anamtahadhalisha kuwa Mtikila, Mchungaji marehemu alikufa/aliuawa kwa vile alikuwa anaipinga serikali... mihimili ilimshughulikai (ndivyo nilivyoelewa) I stand to be corrected
Kaa tu mkuu correction isn't needed!
 
Ukawa haikuwa madarakani, hivyo haikuwa tishio kwa mustakabali wake.....
Nilikuwa naweka kumbukumbu sawa tu, ila kumbuka kwenye siasa hasa hizi za kiafrika kila kitu kinawezekana.
 
Siku ukiingia ndani 18 ya huu utawala lazima akili zitakurudi
 
Huyo mtaalamu aweza kuwa hata iblisi
 
Askofu atulize mbwisi
 
Hiyo ni katiba au mawazo yako binafsi???
 
Mchungaji na siasa wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…