Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Anafikiria nini?Hongera sana Baba Mwasekaga... ever smiling but deeply thinking priest...
Huwezi elewaAnafikiria nini?
Inawezekana sielewi. Ila nauliza kutaka kupata maarifa.Kila siku kuna jipya kanisani kwetu huku π π π πHuwezi elewa
Ashakum si matusi Ndio kumanisha ipo juu ya uwezo wako.Inawezekana sielewi. Ila nauliza kutaka kupata maarifa.Kila siku kuna jipya kanisani kwetu huku π π π π
Kuna wakati mwingine kukaa kimya ni bora kuliko kuongea.Kanisa limebahatika kupata watu wengi sana watakatifu na wengine wameleta majanga makubwa.Ashakum si matusi Ndio kumanisha ipo juu ya uwezo wako.