Padre Kitima: Tunaweza kutengeneza Dikteta Mtu, Dikteta Mfumo au Dikteta Familia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nimeogopa sana

Hivi Chadema ya akina Mwamba ilikuwa Dikteta Mtu au Dikteta Familia?

Nimeuliza kiutafiti zaidi

Ahsanteni sana

Mlale unono πŸ˜„
 
Hatujakuelewa hebu rudia kusema umepigaje hapo
Padre Kitima anasema kwa Siasa tulizonazo tunaweza kutengeneza madikteta

Ama Kiongozi akawa Dikteta au Familia fulani ikawa inatuongoza kidikteta au tukawa na Mfumo wa uongozi wa kidikteta

Umeelewa?
 
Nimeogopa sana

Hivi Chadema ya akina Mwamba ilikuwa Dikteta Mtu au Dikteta Familia?

Nimeuliza kiutafiti zaidi

Ahsanteni sana

Mlale unono πŸ˜„
Padre Kitima anasema kwa Siasa tulizonazo tunaweza kutengeneza madikteta

Ama Kiongozi akawa Dikteta au Familia fulani ikawa inatuongoza kidikteta au tukawa na Mfumo wa uongozi wa kidikteta

Umeelewa?
Kwa nini umeitaja Chadema pekee na kuiacha CCM ambayo ina hivyo viashiria vyote vya udikteta wa mtu, familia na mfumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…