TANZIA Padre Richard Mshami wa Jimbo la Tanga afariki dunia

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,786
Reaction score
1,715

Msimamizi wa Jimbo Katoliki Tanga, Pd. Thomas Kiangio, anasikitika kutangaza kifo cha Pd. Richard J. Mshami, kilichotokea tarehe 10/03/2021 katika Hospitali ya Rugambwa huko Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.

Ibada ya mazishi ni siku ya Jumatano tarehe 17/03/2021 huko parokiani Kilole Korogwe Tanga, kuanzia saa 4 asubuhi.

Pumzika Kwa Amani Padre Richard Mshami.

Amina.
 
Hii changamoto imekua kubwa sana aisee...pumzika kwa amani mtumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…