Moja ya quotes maarufu duniani, na padre ameirudiaWakuu,
Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani".
Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
Mandela; watu wema wakikaa kimya wajinga huongezekaMoja ya quotes maarufu duniani, na padre ameirudia
Tutafika huko.Kanisa katoliki (RC) la Tanzania mnaonekana mna uccm mwingi, mbona hampigi kwenye mshono kama RC ya DRC walivyofanya?
Hujitambui wala hata huelewi maana ya siasa. Pole sana.Kama mnajifanya mnasali ndo mnahubiriana haya basi hapo hapana ibada ni mkutano wa siasa
Huyo siyo padre ni mhuni tu wa mitaani.Hujitambui wala hata huelewi maana ya siasa. Pole sana.
Bakia humuhumu na ujinga wakoHAKIKA HUU NI MUDA WA KUTUMIA NGUVU KUITOA CCM MADARAKANI.MUDA WA KUBEMBELEZANA UMEISHA.HATA KIPINDI TUNADAI UHURU KUTOKA KWA WAKOLONI TULITUMIA MTUTU PALE WAKOLONI WALIPOKUWA HAWATAKI KUTUPA MATAKWA YETU KWA NJIA YA AMANI.
It may well be that we will have to repent in this generation. Not merely for the vitriolic words and the violent actions of the bad people, but for the appalling silence and indifference of the good people who sit around and say, "Wait on time. Martin Luther King Jr.
Matako ya bibi yakoBakia humuhumu na ujinga wako
Ya mama yakoMatako ya bibi yako
Huyu jamaa nimekuwa nikifuatilia comments zake, nimeamua kumpuuza. Ni caliber ya wale waafrka waliokuwa wakiwarongoshea waafrika wenzao wakakamatwa na kuuzwa utumwani. Faida walokuwa wanapata kwa kuwasaliti wenzao vitu vidogo kama kioo na shanga. Bure kabisaHujitambui wala hata huelewi maana ya siasa. Pole sana.