Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Katika utumishi wako, inaonekana kila sehemu unapoenda hukubaliki, kutokana na kujfanya kwamba unajua kila kitu hata wakubwa zako wewe huwasikilizi, unadharau hata waliokusomesha.
Wewe kutoka pale kijijini kwenu Songea, usingeweza kupata nauli hata ya kupanda basi lakini Wamisionari walikupandisha ndege kwenda Uingereza ulipokwenda kusomea mambo ya THEOLOGY, kwenda Zambia kikazi ambako huko ulifukuzwa, pamoja na nchi nyingi za Kiafrika.
Jitafakari na uwaheshimu wakubwa zako, uache ujeuri, acha ujuaji na utaishi vizuri kwenye Community yako maana umekuwa ni mtu wa kuharibu haribu kila kona, ulevi mbao uliukumbatia kwa muda mrefu walau nlisikia kuwa umeacha lakn cna hakika maana sasahivi ulevi wako ni siasa, yani umeacha ulevi wa Tusker, Safari, Ndovu, Kiroba n.k ukaona vema uingie kwenye siasa, hilo nakupongeza ila tuweke sawa sisi waumini wako maana tunachokiona ni kuchanganya mabwana wawili jambo ambalo sio zuri kwa hadhi ulonayo.
HUO NI USHAURI WA BURE KABISAAAAA PADRI WANGU BAPTISTE MAPUNDA KOKOTE KULE ULIPO, KAMA NI TANZANIA AMA HUKO GHANA, UPATE HUU UJUMBE WANGU. YA MUNGU MWACHIE MUNGU NA YA KAISARI MWACHIE KAISARI!