Kisa nini??Huyu padri alikuwaga kiboko!Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
Alikuwa ni padri mmoja noma sana! Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku, ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!Kisa nini??
Hahahaaah duh huyo zaidi ya wale walimu wakorofi.Alikuwa ni padri mmoja noma sana!Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku,ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Labda ni kwa sababu ya exposure ya utumishi wao nje ya mipaka ya nchi?Hivi mbona mapadri na ma prfs ndio wanakufa ??huenda kuna siri kweli kwenye unawaji maana wenzetu wa upande wa pili kule wao kabla hawajaingia ibada lazma unawe ndio maana wao hatusikii kabisa.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu ni kama alikuwa na kipaji fulani hivi kwenye hayo mambo ya dini. Kanisa lake lina waumini wengi sana(mamia ya watu) ila siku ukikosa kanisani halafu ukaja jumapili inayofuata anagundua,ni anatoka kule mbele anakufuata halafu anakupiga makofi mengi sana kwa kutumia biblia halafu anakupa adhabu ya kwenda kuchota mchanga mtoni debe mia ambako ni mbali sana na pana milima mingi!Hahahaaah duh huyo zaidi ya wale walimu wakorofi.
Alikuwa ni padri mmoja noma sana!Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku,ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!