Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
dhuluma za kingono na haki za waliolawitiwa na mapadre zizingatiwe na hatua za kisheria zikachukuliwa dhidi ya wahusika sio kuwaficha madhabahuni mafirauni.Katibu Mtendaji wa Baraza la Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Charles Kitima anasema viongozi wa dini wanathamini uchaguzi na wanachotaka haki za kisiasa za Watanzania ziheshimiwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Padri Charles Kitima amezungumza katika mahojiano maalumu na DW
No reforms no election.Mapungufu yapo wazi kabisa,kinachofanya tuogope kufanya mabadiliko ninini?dhuluma za kingono na haki za waliolawitiwa na mapadre zizingatiwe na hatua za kisheria zikachukuliwa dhidi ya wahusika sio kuwaficha madhabahuni mafirauni.
mabinti waliopachikwa mimba na makasisi wa kanisa katoliki na watoto kutelekezwa mitaani ni muhimu haki zao pia zikachungwa, sambamba na makasisi wanaoshiriki ngono na wake za waamini na hatimae kuvunja ndoa za watu.
hizi haki zote za kijamii ni sharti zichungwe sambamba na zile za kisiasa π
Kilaza masikini wa hali na mali. Chawa.dhuluma za kingono na haki za waliolawitiwa na mapadre zizingatiwe na hatua za kisheria zikachukuliwa dhidi ya wahusika sio kuwaficha madhabahuni mafirauni.
mabinti waliopachikwa mimba na makasisi wa kanisa katoliki na watoto kutelekezwa mitaani ni muhimu haki zao pia zikachungwa, sambamba na makasisi wanaoshiriki ngono na wake za waamini na hatimae kuvunja ndoa za watu.
hizi haki zote za kijamii ni sharti zichungwe sambamba na zile za kisiasa π
Padre katika ubora wakeKatibu Mtendaji wa Baraza la Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Charles Kitima anasema viongozi wa dini wanathamini uchaguzi na wanachotaka haki za kisiasa za Watanzania ziheshimiwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Padri Charles Kitima amezungumza katika mahojiano maalumu na DW
Huyu ku tumtafutedhuluma za kingono na haki za waliolawitiwa na mapadre zizingatiwe na hatua za kisheria zikachukuliwa dhidi ya wahusika sio kuwaficha madhabahuni mafirauni.
mabinti waliopachikwa mimba na makasisi wa kanisa katoliki na watoto kutelekezwa mitaani ni muhimu haki zao pia zikachungwa, sambamba na makasisi wanaoshiriki ngono na wake za waamini na hatimae kuvunja ndoa za watu.
hizi haki zote za kijamii ni sharti zichungwe sambamba na zile za kisiasa π
Umtafute maiti wa kazi gani mkuu.Huyu ku tumtafute