Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Wakubwa wameanza kunena ngoja tuone sasa itazaa matunda?.Good move kwa baraza la maaskofu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....Waitishe maandamano kama Congo, hili baraza la maaskofu limekuwa kama tawi la mama Bisimba tu maneno kila siku bila vitendo au kwakuwa ni zamu ya John.
Katoliki ni zaidi ya wasiojulika waka traKanisa linatafuta ugomvi na Dikitekta uchwara, ngoja kwanza awatumie Uhamiaji na TRA. Wakishindwa hao watatumiwa watu wasiojulikana . Dikitekta anakila aina ya mbinu ya kuliangamiza hili Taifa yeye na Rafiki yake Uchwara Kagame
Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....
Nawapongeza sn maaskofu maana hii ni mara ya pili ndani ya kipindi kifupi wanaona namna mambo yalivo hovyo....waislamu ni kweli bakwata ni tawi la ccm?
Unamtafuta muislamu kilaza akuunge mkono?Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....
Nawapongeza sn maaskofu maana hii ni mara ya pili ndani ya kipindi kifupi wanaona namna mambo yalivo hovyo....waislamu ni kweli bakwata ni tawi la ccm?