The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa
Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk
Ni kweli kabisa. Wanayo haki kama watanzania wengine kukosoa mambo yasiyoridhisha katika jamii. Wamesoma na wanaujua ukweli kwamba majority ya wananchi sio wasomi. Wanaowajibu wa kutoa mchango wao kuiboresha hii nchi. Hizi hoja za udini zinaletwa na watu kutojiamini au kuzima jitihada zao za kutoa michango yenye kuboresha jamii zetu ilhali baadhi ya watu wachache pengine watakosa ulaji.hizi zote ni chuki binafsi dhidi ya mapadre. Mapadre ni Watanzania, ni wananchi huru, wanahaki zote kama ilivyo kwako kutoa maoni juu ya suala lolote katika Taifa lao.
Bravo ma-father kwa kazi nzuri, mmesomeshwa kwa pesa nyingi, isaidieni jamii yenu kufumbuka macho, ibilisi wa maendeleo amewakamata baadhi ya watu.
Huyu ni mwandishi wa makala za RAIA MWEMA HAMJUI nini?? Na huyu si padri maana aliachishwa upadri miaka ya nyuma huko. Huyu ni sawa na Dr Slaa. Naye alikuwa padre na akaaomba yeye mwenyewe kwa Papa kuacha updre.
Habari ndo hiyo na msikasirike bila kujua, Jina tu hilo na si padre. MSOME MAGAZETI YA TZ, MTAWAJUA WAANDISHI WA MAKALA
Tembelea Raia Mwema - Muungwana ni Vitendo
Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk
Hivyo nilivyo highlight kwa red inatakiwa visomeke hivi Siasa = diniSiasa na dini havichanganywi, bora ajiunge kwenye siasa mja kwamoja, kwa sababu shughuli ya kanisa pekee nikazi kubwa kunauchafu mwing kule, sasa wanasiasa nao waingilie kanisa ? sinachuki anatakiwa awajibike kwake kwanza kunauchafu mwing tu, nahao wasiasa wanakuja kila J'pili awavute awekemee kama anataka kukataza maovu, He should clean his house first, asilete blablaa
Tujadili hoja ya Padre wetu. Tusimjadili yeye. Mwanzilishi wa thread hii aisimamie. Asibandike na kulala mbele(kwa wale mliopita JKT mnanielewa).