Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
sijawahi kuona mtu yuko offended na neno "padri" kiasi hiki. jaribu kutoa neno padri kwenye post alafu weka comment kuhusu hio topic.manake umeenda out of topic bila sababu yoyote zaidi ya chuki za kidini.Hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa
ha ha ha hizi ndio zinaitwa stress za maisha.rudia kusoma post alafu njoo upya lool manake sioni kama masheikh na maustadhi hawako wanaofanya vitu ulivyotaja.ni asilimia chache sana kwenye dini zote wako hivyo lakini hii post ilikuwa sio ya kuwahukumu mapadri wala masheikh topic inahusu spika.kama una ujumbe kwa ma padri fungua post mpya habari mchanganyiko utume ujumbe sio kuja hapa kujaribu kupotosha wanajf hili wasichangie kilichowekwa hapa.Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk
hivi umelewa nini? jaribu kusoma comments unazotoa ukiwa sobber.Huyo Padre hakutakiwa alitakiwa afutate mambo ya kanini kwakwe
Hoja ni nzuri ilitakiwa waiongee wange wenyewe yeye hatoweza kumwondoa mzee six
Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk