Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Unbelievably true!Serikali hiyo hiyo wakati inafanya vitendo hivyo vya kidhalimu eti inataka maridhiano!! Wakati umefika kwa watanganyika kurudisha nchi yao!! Kama kukinukisha na KINUKE!!!
Tunatumika kama condom tena na si kwamba tunalipwa mabilioni kama asemavyo Mwigulu?Vijana mnatumika tu kama condom
Nakuuliza wewe mwenye kushabikia haya mauwaji ambayo yameuwa hadi waislamu wenzako ila bado unashabikia na kusema wauliyouliwa ni waharifu.Muulize kitima
Yamesemwa wapi haya unayoandika hapa!Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni
Padre siku ya uapisho wa rais alisema waliouawa wako mbinguni,ungemuuliza yeye sheikh majini yuko pepo ganiNakuuliza wewe mwenye kushabikia haya mauwaji ambayo yameuwa hadi waislamu wenzako ila bado unashabikia na kusema wauliyouliwa ni waharifu.
Unaambiwa polisi walikuwa wanauwa watu hovyo na ndio maana wameuwa hadi watu waliyokuwa majumbani kwao ila wewe unasema stray bullet.
Kwahiyo unampinga kwamba Sheikh majini hayupo mbinguni?Padre siku ya uapisho wa rais alisema waliouawa wako mbinguni,ungemuuliza yeye sheikh majini yuko pepo gani
Nimekwambia muulize yeye majini yuko pepo gani?.. maana uliniuliza mimi hilo swali wakati mimi sikusema wako mbinguniKwahiyo unampinga kwamba Sheikh majini hayupo mbinguni?
Siwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.Nimekwambia muulize yeye majini yuko pepo gani?.. maana uliniuliza mimi hilo swali wakati mimi sikusema wako mbinguni
Padre ana macho ya kiroho na roho mtakatifu juu,aliona waliokufa wote wako mbinguni, muulizeSiwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.
Kwa sababu wewe unahalalisha hayo mauwaji ndio maana huwezi kuzungumzia waislamu wenzako waliyouliwa.Padre ana macho ya kiroho na roho mtakatifu juu,aliona waliokufa wote wako mbinguni, muulize
Dishi lako lina shida 🤣🤣🤣Kwa sababu wewe unahalalisha hayo mauwaji ndio maana huwezi kuzungumzia waislamu wenzako waliyouliwa.
mwambie sa100 aseme kwa wazee wa ccm Dar akihutubi, hicho ulichosema, na ushahidi mchongo alete mezani, uchunguzweWalijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
mwambie sa100 aseme kwa wazee wa ccm Dar akihutubi, hicho ulichosema, na ushahidi mchongo alete mezani, uchunguzwe
Kwa sababu wewe unahalalisha hayo mauwaji ndio maana huwezi kuzungumzia waislamu wenzako waliyouliwa.
Siwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.
Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.Yamesemwa wapi haya unayoandika hapa!
Hivi huoni wazi kabisa kuwa wewe ni wakala wa shetani moja kwa moja?
Kwa shetani kama wewe, hata Tanzania nzima tukiamua wote wawe wa imani unayoifuata wewe, bado ushetani wako utakuwa ni uleule. Hutaridhika na hali yoyote ile.
Umesema vyema. Hilo senge gallow bird ni kulipiga tofali tu yeye na Lucha vichwa vyao vimejaa mimavimnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button
Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.
nielekeze. mm naona report, thank, quote na replymnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button
Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.
Siamini katika kuwapa 'free rde' wapumbavu kama hawa! Ni muhimu kuwakabili kwa njia hiyo hiyo ya kiwenda wazimu wanayokuja nayo wenyewe.mnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button
Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.