Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,148
- 6,060
Mbele ya avatar/display picture kuna ID namenielekeze. mm naona report, thank, quote na reply
Acha wamuue tu naona anataka kuleta machafuko ya kidini huyu."Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua naweza nikauawa leo baada ya taarifa hii."
"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu.
Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si kweli, kuna matatizo yanayoendelea ya msingi ya nchi ambayo hayajashughulikiwa, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa."
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.
Ka gallow bird kako huku kwangu nakachakata sasa hivi!We nae upumzike sasa!!
Yaani upo kama fisi unadanga na kuzurura jf Kila mtaa ili mradi tu kutafuta nyuzi zinazoikosoa serikali ili uandike mashudu.
Au dau lako huko Rumumba ni kubwa siyo kama wenzio wa buku 7?
Mwambie yeye mwenyewe na Rais wa TEC wamenunuliwa na Ford Foundation."Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua naweza nikauawa leo baada ya taarifa hii."
"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu.
Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si kweli, kuna matatizo yanayoendelea ya msingi ya nchi ambayo hayajashughulikiwa, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa."
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.
..usimtie hofu Fr. yeye anajua kuishi ni Kristo na kufa ni faida.Langu ni hilo tu. Fr. kitima chukua tahadhali au to be aßurednof your safety, kimbia nchi.
Flee the country!
Mbona unawashwa?Mods huyu mpuuzi anapenda like za jf kila baada ya dakika anafungua nyuzi zenye maudhui yaleyale hebu unganisheni haya mautumbo yake!!
Ngoja nijikuneMbona unawashwa?