PostGE2025 Padri Kitima: Tungekuwa na Bunge Imara lingetuundia Tume. Bunge sasa hivi ni Kamati ya Chama kimoja

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Alichokisema Padri Kitima kuhusu Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza athari za maanadamano ya Oktoba 29

"Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na wananchi wenyewe tungesema Bunge ndo ichague hiyo kamati


Your browser is not able to display this video.
 
Naona amerudi ulingoni kwa kasu. Hizi spana balaa. Mwamba kbs huyu.
 
waiter mpatie Fr Kitima bia kadhaa aburudishe nafsi kwa kazi nzuri anayofanya nitalipa mimi mkuu
 
Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na wananchi wenyewe tungesema Bunge ndo ichague hiyo kamati📌🔨✌🏿💪🏿
 
Bakwata kazi mnayo mwaka huu kujibu hoja za huyu mwamba.
Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na wananchi wenyewe tungesema Bunge ndo ichague hiyo kamati
 
Bakwata kazi mnayo mwaka huu kujibu hoja za huyu mwamba.
Moto kweli kweli...kwa kweli madrasa wana kazi sana... tufanye kama Kagame kuweka utaratibu kwamba hawa wenye madrasa ni lazima waWe na degree, sio kukariri tu kitabu kitatifu bila uelewa wa mambo...
 
Moto kweli kweli...kwa kweli madrasa wana kazi sana... tufanye kama Kagame kuweka utaratibu kwamba hawa wenye madrasa ni lazima waWe na degree, sio kukariri tu kitabu kitatifu bila uelewa wa mambo...
Hao na elimu ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…